IMG_0126-1
Mkuu wa Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) Dkt. Zacharia Mganilwa (kushoto)  akimkabidhi tuzo Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe kwa mchango wake  mkubwa  wa kuboresha sekta ya reli  nchini kwa niaba ya kampuni  ya Mwandi Tanzania kwenye  hafla ya makabidhiano  iliyofanyika jijini Dar es Salaam.  (Picha na Lorietha Laurence).