Alhamisi, 29 Agosti 2013

HISTORIA FUPI NA WASIFU WA ALIYECHUKUA NASAFI YA SHIGELA UVCCM

SIXTUS RAPHAEL MAPUNDA:

Mzaliwa wa Ruvuma,, Kabila Mngoni, ameoa (Jiang Alipo). Ni mkazi wa Kinondozi,,, Ni muhitimu wa chuo kikuu cha D'salaam mwaka 2005, nafasi za uongozi ndani ya Chama na Jumuiya,,,

1. Katibu wa Uvccm wilaya ya Ilala.

2. Katibu wa Uvccm Mkoa wa D'salaama na mimi nikiwa msaidizi wake kama katibu wa Chipukizi na uhamasishaji Mkoa kwa kipindi cha miaka minne (4).

3. Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Mahusiano na Ushirikiano wa mambo ya nje wa CCM Makao Makuu.

4. Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni.

5. Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro.

6. Muangalizi wa SADC Uchaguzi Mkuu wa Zimbabwe Mwaka 2013.

7. Mkuu wa Msafara wa Uvccm Mkoa D'salaam mwaka 2009 April kwenye uchaguzi Mkuu wa South Afrika nami nikiwemo.

8. Katibu Mkuu wa Uvccm Taifa Mteule.

Vivaaa CCM Vivaaaaa, Vivaaa Uvccm Vivaaaa,,, Aluuuuutaa Kontinua mapambano yanaendelea.

SIXTUS RAPHAEL MAPUNDA

KATIBU WA UMOJA WA VIJANA WA CCM TAIFA
Mzaliwa wa Ruvuma,, Kabila Mngoni, ameoa (Jiang Alipo). Ni mkazi wa Kinondoni,,, Ni muhitimu wa chuo kikuu cha D'salaam mwaka 2005, nafasi za uongozi ndani ya Chama na Jumuiya,


1. Katibu wa Uvccm wilaya ya Ilala.

2. Amewahi kuwa Katibu wa Uvccm Mkoa wa D'salaama 


3. Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Mahusiano na Ushirikiano wa mambo ya nje wa CCM Makao Makuu.

4. Amewahi kuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni.

5. Amewahi kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro.

6. Muangalizi wa SADC Uchaguzi Mkuu wa Zimbabwe Mwaka 2013.

7. Mkuu wa Msafara wa Uvccm Mkoa D'salaam mwaka 2009 April kwenye uchaguzi Mkuu wa South Afrika 

8. Katibu Mkuu wa Uvccm Taifa Mteule.

Vivaaa CCM Vivaaaaa, Vivaaa Uvccm Vivaaaa,,, Aluuuuutaa Kontinua mapambano yanaendelea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...