Alhamisi, 29 Agosti 2013

MBIO ZA MWENGE MOROGORO

Viongozi wa Mbio za mwenge wakiwa na wananchi wa wilaya ya morogoro mjini wakati wa makabidhiano ya mwenge wa uhuru leo wakati mwenge huo ulipomaliza mbio zake wilaya ya Morogoro mjini na kukabidhiwa wilaya ya Morogoro vijijini

Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mh Said Amanzi akiwa Na Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Jorvis Simbeye  wakati wa mbio za mwenge


Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Jorvis Simbeye akikabidhi Mwenge wa uhuru kwa mkurugenzi wa wilaya ya Morogoro vijijini leo

Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Jorvis Simbeye akimkabidhi  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Morogoro Vijijini, Julis Madiga  Mwenge wa Uhuru leo.



Wabunge wa majimbo ya Morogoro vijijini  Mh Innocent kalogeris wa Jimbo la Morogoro kusini akiwa na Dk Lucy Nkya wa jimbo la Morogoro kusini mashariki leo wakati wa makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...