Jumapili, 18 Agosti 2013

MAZIKO YA MZEE ASEID RAMADHAN, MUASISI WA ASP NA CCM

IMG_2937Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa na viongozi wengine wa
Serikali wakati wa kumswalia  Marehemu Mzee Ased Ramadhan.   Marehemu alikuwa Mtumishi wa Chama cham ASP na CCM,ambapo alishika nafasi mbali mbali zikiwemo Mkuu wa Utawala Makao Makuu ya ASP na Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.{Picham na Ramadhan Othman Ikulu.
IMG_2953Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitia udongo katika kaburi la
Marehemu Mzee Ased Ramadhan.   Marehemu alikuwa Mtumishi wa Chama cham ASP na CCM,ambapo alishika nafasi mbali mbali zikiwemo Mkuu wa Utawala Makao Makuu ya ASP na Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.{Picham na Ramadhan Othman Ikulu.
IMG_2946Baadhi ya Wananchi walioshiriki mazishi ya Marehemu Mzee Ased Ramadhan wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu huyo Aliyefariki jana na kuzikwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja.marehemu aliwahi kushika nyadhifa mbali mbali katika Chama cha ASP na CCM.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...