Jumatatu, 19 Agosti 2013

DK SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR

IMG_2972Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Chama alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui, kushiriki katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu CCM Taifa,kilichofanyika leo Mjini
Zanzibar.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_3003Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
 
Mapiunduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akiendesha Mkutano wa Siku Moja wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM,katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya CCM KisiwanduiMjini Zanzibar.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...