Jumanne, 20 Agosti 2013

WAZIRI WA HABARI AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA ANAYEIWAKILISHA TANZANIA NCHINI BOTSWANA

PIX1Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara (kushoto) afurahia jambo katika maongezi baina yake na  Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Botswana,  Mhaandisi Emmanuel Ole Naiko alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo Mhandisi Ole Naiko amabaye[pia ni mlezi wa Miss Tanzania amewasilisha maombi ya kumtaka Mheshimiwa Waziri kuwa Mgeni rasmi katika zoezi la kukabidhi bendera kwa Miss Tanzania anayetarajia kushiriki mashindano ya Miss World.
PIX2Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara (kushoto) akiagana Balozi wa Heshima wa Tanzania nchi Botswana amabaye pia ni mlezi wa Miss Tanzania, Mhaandisi Emmanuel Ole Naiko alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...