Jumatatu, 30 Septemba 2013

MWENYEKITI UVCCM TAIFA NDUGU SADIFA JUMA HAMIS AZINDUA MASHINA YA CHIPUKIZI KATA YA MBAGALA

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Sadifa Juma Hamis akikata utepe wa kuzindua shina la Chipukizi la Kizinga lililopo kata ya Mbagala.
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Sadifa Juma Hamis akifungua kitambua kama ishara ya kuzindua kijiwe cha Chipukizi shina la Kizinga huku likishuhudiwa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Omari Matulanga (katikati) pamoja na Katibu wa UVCCM Kata ya Mbagala Emmanuel John (kulia kwake)
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Sadifa Juma Hamis akimsikiliza chipukizi aliyekuwa akisoma risala


Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Sadifa Juma Hamis akijibu hoja zilizokuwemo kwenye risala hiyo ikiwemo kukubali ulezi wa shina la chipukizi la Kizinga lililopo kata ya Mbagala
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Sadifa Juma Hamis akizindua shina la chipukizi la kwa Serenge kwa kupandisha bendera ya chipukizi hewani
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Sadifa Juma Hamis akigawa kadi kwa chipukizi wa shina hilo. Ugawajwi wa kadi umefanywa kwenye mashina yote aliyoyafungua huku ukishuhudiwa na mamia ya watu.
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Sadifa Juma Hamis akizindua shina la Chipukizi la kwa Sokoine
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Sadifa Juma Hamis akipandisha bendera hewani wakati akizindua shina la chipukizi la Sokoine
 Chipukizi Elizabeth akisoma risala mbele ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Sadifa Juma Hamis (hayupo pichani)
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Sadifa Juma Hamis akifurahia uzinduzi wa mashina ya chipukizi ya kata ya Mbagala yaliyozinduliwa Jumapili Sept 29, 2013. Mashina yaliyozinduliwa yameweka historia kwa kata ya Mbagala kuzindua mashina ya chipukizi tangu kuumbwa kwa Dunia leo ndio yamezinduliwa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...