Jumanne, 5 Novemba 2013

MTEMVU AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CHIPUKIZI WA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Ng’wanang’walu (kushoto) akimkabidhi tuzo maalum, Mbunge wa Jimbo la Temeke, ambaye hivi karibuni ameteuliwa kuwa Kamanda wa umoja huo, Abbas Mtemvu kwa ajili ya kumpongeza kwa uteuzi huo pamoja na kuchangia kwa kiasi kikubwa maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Chipukizi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam juzi.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chipukizi Mkoa wa Dar es Salaam, wakipiga makofi walipokuwa wakimk wakimkaribisha mgeni rasmi Abbas Mtemvu kufungua mkutano huo wa uchaguzi
Wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha OTT wakitumbuiza wakati wa mkutano huo
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chipukizi Mkoa wa Dar es Salaam, wakipiga makofi walipokuwa wakimk wakimkaribisha mgeni rasmi Abbas Mtemvu kufungua mkutano huo wa uchaguzi
Baadhi ya wasimamizi wa  uchaguzi wa uchaguzi wa chipukizi wakipiga makofi alipokuwa akihutubia MTEMVU
Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ng’wanang’walu akihutubia kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Mtemvu (kulia) kufungua mkutano huo
Katibu wa Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba akihutubia na kukemea vitendo vya rushwa katika uchaguzi huo.
Mtemvu akimkabidhi mmoja wa chipukizi zawadi ya cheti.
Mtemvu akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Chipukizi
Mtemvu akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Chipukizi
Wajumbe wa mkutano huo wakiwa makini kusikiliza hotuba ya mgeni rasmi kabla ya kuanza uchaguzi mkuuu wa viongozi wao.
Chipukizi wakisikiliza kwa makini wakati Mtemvu akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu.
PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...