Jumanne, 19 Novemba 2013

WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA MKOA WA MOROGORO WAKISAINI VITABU VYA WAGENI

Wajumbe wa kamati ya Siasa na Sekretarieti ya halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi mkoa wa Morogoro wakisaini vitabu vya wageni katika ofisi  ya CCM wilaya ya Kilombero mara baada ya kuwasili wilayani humo kwa ziara ya siku nane ya kikazi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...