Jumatano, 1 Januari 2014

ZIARA YA KATIBU WA CCM MKOA WA MOROGORO WILAYANI MVOMERO


 Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romuli akiangalia bustani ya migomba katika kata ya Mlali wilayani Mvomero.


 Katibu mwenezi wa wilaya ya Mvomero Lule Kingu akitoa Maelezo ya soko la Mlali wilayani Mvomero.
 Viongozi wa CCM mkoa na wilaya ya Mvomero wakiangalia bidhaa za wafanyabiashara wilayani Mvomero.
Katibu wa CCm mkoa wa Morogoro akisaidiana na viongozi wenzake ujenzi wa tanki la maji katika shule ya Sekondari Mlali wilayani Mvomero

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...