Jumanne, 11 Machi 2014

Angalia Picha Sitta achukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Bunge la Katiba

Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akipokea Fomu kutoka kwa Ofisa wa Bunge Bi. Lidya Mwaipyana. Katikati ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangala.ZINAENDELEA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...