KUTOKA KILOSA,
Mama huyo alikamatwa jana katika kijiji cha Matongola Dumila wilayani Kilosa baada ya viongozi wa kijiji hicho kupata taarifa kuwa kuna mtoto anafichwa na mama huyo.
hata hivyo mtoto huyo kwa sasa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Kilosa kwa uchunguzi wa afya huku mama huyo akiwa mbaroni.
Habari zaidi na picha zitawajia badae .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni