Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Mchungaji Dkt. Mathew Byamungu,
wakati akimkaribisha Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Mei
13, 2013 alipofika kwa mazungumzo akiwa ameongozana na mkewe,
Je-Ynung. Picha na OMR
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni