Ijumaa, 14 Juni 2013

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana Kwa Mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Dr.Ad Koekkoek baada kwa kumaliza muda wake wa kazi nchini Tanzania


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na   Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Dr.Ad Koekkoek,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar, kumuaga Rais baada kwa  kumaliza muda wake wa kazi nchini leo asubuhi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Dr.Ad Koekkoek,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kumuaga Rais leo asubuhi baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na   Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Dr.Ad Koekkoek,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,leo asubuhi kuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi .Picha na Ramadhan Othman, Ikulu-Zanzibar

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...