Jumapili, 17 Novemba 2013

ANGALIA TASWIRA YA PAMBANO KATI YA MORO VETERANI NA MAGEREZA KINGORWILA

.
Mbunge wa Morogoro Mjini Mh Azizi Abood ambaye pia ni Mchezaji wa Morogoro veterani akiwakilisha timu yake uwanjani dhidi ya timu ya magereza kingorwila.
Kikosi cha Morogoro Veterani Kutona Nyuma Kushoto Musa, Yasini, Juma Khamisi, Chitanda, Haroub, Khamisi, .Mbele kutoka kushoto Tamba, Mbunge wa Morogoro Mjini Abood Cosmas Hagai Hamisi Madole
Timu ya Morogoro veterani kilichoanza katika mechi dhidi ya timu ya magereza kingorwila Ambapo Timu ya Morogoro veterani walifanikiwa kushinda kwa magoli 5 kwa  0 Mchezo uliochezwa katika uwanja wa magereza kingorwila.
Timu ya Magereza Kingorwila kilichoanza dhidi ya Morogoro Veteran
Mchezaji wa Morogoro Mzee Mambeta alikuwa chachu ya ushindi wa timu yake 
Moja ya patashika uwanjani katika mchezo huo
Mbunge wa Morogoro Mjini Mh Azizi Abood akiwa na mpira akitafuta mbinu za kuwatoka wapinzani.
Mzee Kondo wa Morogoro Veterani akiwakilisha vema timu yao

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...