Jumanne, 19 Novemba 2013

MWENYEKITI CCM MKOA WA MOROGORO AKISISITIZA JAMBO

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi  mkoa wa Morogoro Inocent Karogeris akisisitiza jambo wakati kikao cha pamoja na wajumbe wa kamati ya Siasa ya mkoa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya kata ya Kibaoni wilayani kilombero.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...