Jumapili, 1 Desemba 2013

MWENYEKITI WA CCM AKIONGOZA MAANDAMANO YA SHEREHE YA RC MORO



Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCm mkoa wa Morogoro Inocent Karogeries akiongoza maandamano  katika hafla ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera na Naibu waziri wa ardhi nyumba na makazi Ole Medeye  jana kutunukiwa  shahada ya heshima ya  udaktari wa usanifu wa masuala ya kijamii (Docta of Philosophy in Humanity) kutoka chuo kukuu cha  kikristo cha Calfornia State cha Nchini Marekani CSCU.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...