Mwenyekiti
wa chama cha Dats Tanzania Gesase Waigama akiongea wakati wa ufunguzi
wa mashindano ya mchazo huo unaoshirikisha mikoa ya Dar es Salaam,
Dodoma, Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro, Kagera, Arusha na wenyeji wao
Morogogoro ambapo katika mashindano hayo yaliodhaminiwa na bia aina ya
Safari mshindi wa kwanza atatoka na kitita cha shilingi 600,000 hapo
kesho.
Baadhi ya washiriki wa mchezo huo wakifanya mazoezi kabla ya kuanza kwa shindano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Magunila Kihonda Mjini Morogoro.
Wahsiriki wa shindano hilo kutoka mikoa mbailimbali wakiwa katika ukumbi huo wakishuhudia pambano hilo.
Irene Kihupi mchezaji kutoka mkoa wa Dar es Salaam akiwa katika pambano hilo.
Joyce Laize mchezaji kutoka mkoa wa Arusha akiwa katika pambano hilo.
Mwenyekiti huyo wa Dats akizindua mchezo huo ili kuruhusu pambano kuanza rasmi. Baadhi ya wachezaji wakiwa katika pambano hilo Frolida Namajojo katibu wa Dats mkoa wa Morogoro akiwa katika mazoezi kabla ya kuanza mchezo huo.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni