Jumanne, 19 Novemba 2013

WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA KIBAONI WILAYANI Kilombero


 Wajumbe wa halmashauri kuu ya Chama Cha  mapinduzi   kata ya Kibaoni wilayani Kilombero wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Inocent Karogeles  wakati wa mkutano wa pamoja na viongozi wa kamati ya Siasa ya mkoa.









Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Morogoro Doroth Mwamsiku akiongea katika mkutano wa pamoja wa kamati ya siasa ya mkoa na wajumbe wa halmashauri kuu ya kata ya Kibaoni wilayani Kilombero wakati wa ziara ya kikazi wilayani humo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...