Jumanne, 21 Januari 2014

MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MOROGORO AZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA LUDEWA KILOSA

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM wilaya ya Kilosa alipowasili kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni za udiwani kata ya Ludewa.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris Akiwa ameongozana na viongozi wa CCM mkoa wa morogoro wakati wa maandamano ya ufunguzi wa Kampeni za udiwani kata ya ludewa Wilaya ya kilosa
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris Pamoja na Mgombea wa Udiwani kata ya ludewa Ndugu Subiri Mwamalili Kulia wakati wakizindua shina la Umoja wa vijana wa Bodaboda kata ya ludewa kabla ya uzinduzi wa kampeni za udiwani katika kata hiyo
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris akihutubia wakazi wa kata ya Ludewa wilaya ya Kilosa kwenye viwanja vya CCM Kata ya Ludewa na kuwataka wananchi wa kata hiyo kufanya maamuzi sahihi kwa wakati huu kwa kumchagua Ndugu Subiri Mwamalili Kutoka  CCM kwani ndio chama pekee Kinachowajali wananchi
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris Akimnadi Mgombea wa Udiwani Kupitia CCM Ndugu Subiri Mwamalili .
 Mgombea wa Kiticha Udiwani kata ya Ya Ludewa Wilaya ya Kilosa  kwa tiketi ya CCM Subiri Mwamalili  akihutubia wakazi wa kata ya Ludewa wakati wa uzinduzi wa kmapeni za udiwani wa kata hiyo.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris  Akimkabidi Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya kilosa jukumu la Kumnadi na kumtembeza kata yote ya Ludewa Mgombea wa Udiwani kata ya Ludewa Ndfugu Subiri Mwamalili

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kilosa Akimdani Mgombea wa Udiwani Kata ya Ludewa  Wilaya Kilosa Ndugu Subiri Mwamalili.ANGALIA PICHA ZAIDI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...