Jumanne, 4 Juni 2013

TASWIRA YA KAMPENI ZA UCHAGUZI KATA YA MASANZO JIMBO LA MIKUMI


Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi mkoa wa morogoro Mh Sixtus Mapunda Kushoto akiwa na mwenyekiti wa ccm wa wilaya ya kilosa Mh Nassor Juma katika mkutano wa kampeni ya udiwani kata ya masanzo iliyopo jimbo la mikumi.Nafasi hiyo iliachwa wazi kutokana na diwani ya kata hiyo kufariki.
Mgombea wa udiwani kata ya masanzo jimbo la mikumi Ndugu Kambikiye jonas Wilson akisikiliza kwa makini wakati wa kampeni ya udiwani mkutano uliofanyika jana jioni
Meza kuu katika mkutano huu wa kampeni kutoka kulia Mbunge wa jimbo la mikumi Mh Sas wa pili mwenyekiti wa ccm wa woilaya ya kilosa,Watatu katibu wa ccm wa mkoa wa morogoro Mh Mapunda akifuatiwa na mwenyekiti wa mtaa aliyevaa shati jeupe ,akifuatiwa na katibu wa ccm wa wilaya ya kilosa Mh Sambu na wa mwisho ni mgombea wa udiwani katika kata hiyo Ndugu kambikiye
Wananchama cha mapinduzi wakiwa makini kusikiliza sera za kumnadi mgombea wa udiwani kata ya masanzo iliyopo jimbo la mikumi mkoani morogoro

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...